Baadhi ya wajumbe walioshiriki mkutano huo uliofanyika katika Hotel ya Uhuru mjini Moshi. |
Katibu wa KGA ,James Mong'ateko akizungumza katika mkutano huo. |
Wajumbe wengine wa vyama vinayofanya shughuli za utalii katika hifadhi za taifa ikiwemo mlima Kiliamanjaro. |
Mwanasheria wa Chama cha waongoza watalii mkoa wa Kilimanjaro (KGA) Elikunda Kipoko akitoa ufafanuzi wa kisheria katika mkutano huo. |
Mmoja wa wajumbe katika mkutano huo akichangia hoja juu ya kusudio la kutaka kuhitisha mgomo kwa lengo la kudai maslahi yao. |
0 comments :
Post a Comment