ACT-WAZALENDO WAENDELEA KUUNGURUMA LEO, WAHITAJI KURUDISHA AZIMIO LA TABORA LILILOHUISHA MISINGI AZIMIO LA ARUSHA.

    Kiongozi Mkuu wa ACT-Wazalendo, Zitto Kabwe akihutubia mkutano wa hadhara leo mchana                                                               tarehe 20, 06. 2015.
 Mwenyekit wa ACT-Wazaleo akihutubia mkutano wa hadhara mchana wa leo uliofanyika Namanyere, wilaya ya Nkasi mkoani Rukwa.


Suleiman Msindi alimaarufu kama Afande Sele akihutubia katika mkutana uliofanyika leo mchana Namanyere wilayani Nkasi Mkoa wa Rukwa.

Wananchi waliohudhuria katika mktano huo wa ACT-Wazalendo leo mchana tarehe 20.06.2015.

Na Mwandishi wetu, Namanyere.

ACT Wazalendo inaendele na ratiba ya kufanya mikutano katika mikoa mbali mbali kama walivyotoa ratiba yao wiki iliyopita, mchana huu na wamefanya mkutano mkubwa sana waq hadhara katika mji wa Namanyere wilayani Nkasi mkoa wa Rukwa.. Lengo kuu la mikutano ya ACT-Wazalendo ni kuzindua Azimio la Tabora lililohuisha msingi ya Azimio la Arusha na sera iliyoboreshwa ya Ujamaa wa Kidemokrasia. Pamoja na kuitangaza sera ya chama chao ambayo ni, misingi ya Uzalendo, Uwazi, Uwajibikaji, Uadilifu, Usawa, Hifadhi ya Jamii, Umoja, Utu, Kujitegemea, Bidii na Weledi katika kazi.

About mahamoud

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.
    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 comments :

Post a Comment