MKUTANO WA ACT-WAZALENDO ULIVYO FANA MKOANI KATAVI.
Kiongoz Mkuu wa ACT-Wazalendo Zitto Kabwe
Na Mwandishi wetu- Katavi.
Chama cha ACT Wazalendo kimefanya mkutano mkubwa sana Mkoani Katavi. Watu wengi wamejitokeza.
ACT-Wazalendo wapo katika ziara ya kulifufua Azimio la Tabora lililohuisha misingi ya Azimio la Arusha na sera iliboreshwa ya Ujamaa wa Kidemokrasia (Democratic Socialism).
AzimiolaArusha ni tamko rasmi la kisiasa lililokusidiwa kuongoza Tanzania katika njia ya ujamaa.
Azimio la Arusha lilipitishwa kwa siku 3 kati ya Januari 26-29 mwaka 1967, na February 5 mwaka 1967 Mwalimu Nyerere alilitangaza rasmi jijini Dar es Salaam na ilichukuliwa kama uwamuziwa Watanzaniakuondoa unyonge wao.
Wananchi waliohudhuria katika mkutano.
0 comments :
Post a Comment