HUYU NDIO MWANAMKE ALIYETANGAZA KUWA, MWANAUME ATAKAE MUOA ATAMPATIA NYUMBA NA GARI

Zainabu Abdulmalik

Mwanamke mmoja nchini Nigeria ametangaza kupitia redio kuwa anatafuta mume, akisema atampa gari na nyumba. Mamia ya wanaume walifurika kituo cha radio cha Freedom, mjini Kano ambapo polisi walilazimika kuitwa kutuliza watu. Msichana huyo, Zainab Abdulmalik, 22, amesema alikuwa amekasirishwa mno na 'boyfriend' wake wa zamani. Mtangazaji wa redio - Nasiru Zango- ameiambia BBC kuwa Zainab alichagua mchumba kutoka katika mlolongo mrefu wa wanaume waliokuwa wamejipanga nje ya kituo cha redio na kuondoka.
                           Source Salum Kikeke wa BBC Swahil.

About mahamoud

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.
    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 comments :

Post a Comment