Umati mkubwa wa wanachi katika kata ya Pasua wakilmsikiliza mfanyabiashara Juma Raibu (hayupo pichani wakati akitangaza nia ya kuwania nafasi ya Udiwani katika kata ya Pasua. |
Mfanyabiashara Juma Raibu akifutilia kwa makini wahutibiaji wa awali wakati wa mkutano wa hadhara ambao uliandaliwa kwa ajili ya kutangaza nia ya kugombea nafasi ya Udiwani katika kata ya Pasua. |
Baadhi ya wananchi waliohudhulia mkutano huo. |
Baadhi ya wananchama wa vyama vya upinzani waliojitokeza kurudisha fomu wakati wa mkutano huo. |
0 comments :
Post a Comment