Naibu waziri wa Maliasili na Utalii,Mohamed Mgimwa akisalimiana na Naibu waziri wa Habari Utamaduni,Utalii na Michezo wa Zanzabar Bi Hindi Khamis walipokutana katika maonesho hayo. |
Naibu Waziri ,Mgimwa akizungumza na mmoja wa wafanyakazi wa kampuni ya utalii ya Zara tour |
Naibu Waziri ,Mgimwa akinywa kahawa alipotembelea banda la kampuni ya ndege ya Ethiopian Airlines. |
Waoneshaji wengine walibuni mbinu zaidi wakiwatumia wafugaji jamii ya maasai katika maonesho hayo. |
Naibu waziri Mgimwa akizungumza na Cuthbert. |
Naibu Waziri wa maliasili na utalii akisalimiana na Meneja Biashara wa kampuni ya Kibo Palace ,Charity Githinji ,wakati Naibu waziri alipotembelea banda hilo. |
Baadhiya wafanyakazi wa kampuni ya Kibo Palace wakiwa katika banda lao la maonesho |
Naibu waziri wa utalii Zanzibar Bi Hindi akipokea zawadi toka Kibo Palace. |
Manaibu waziri wa utalii,Tanzania bara na Zanzibar,Mgimwa na Bi Hindi wakiwa katika picha ya pamoja na wakurugenzi wa Kilifair Dominic Shoo na Tom. |
Mkurugenzi wa kampuni ya Kilifair ambao ndio waandaji wamaonesho hayo ,Dominic Shoo akizungumza wakati wa ufunguzi wa maonesho hayo . |
Naibu waziri wa habari,utamaduni,utalii na Michezo Zanzibar ,Bi Hindi Khamis akizungumza wakati wa ufunguzi wa maonesho hayo. |
Baadhi ya wageni waliofika kwa ajili ya maonesho hayo. |
Naibu Waziri ,Mgimwa akitoa hotuba yake ya ufunguziwa maonesho ya kimataifa ya utalii ya Kilifair 2015 yanayofanyika katika viwanja vya Moshi Club. |
Viongozi wakiwa katika picha ya pamoja. |
Naibu waziri Mgimwa akiteta jambo nammoja wa wakurugenzi wa kampunu ya Kilifair Dominic Shoo. |
Kikundi cha burudani toka nchini Kenya kikitoa burudani katika maonesho hayo. |
Baadhi ya mabanda yaliyopo ndani ya viwanja vya Moshi Club yakionesha bidhaa na huduma zitolewazo na kampuni mbalimbali za utalii. Na Dixon Busagaga wa Globu ya Jamii Kanda ya Kaskazini. |
0 comments :
Post a Comment