Rais Jakaya Mrisho Kikwete akilakiwa na Balozi Dorah Msechu katika uwanja wa ndege wa Helsinki alipowasili tayari kwa ziara ya siku tatu ya nchi hiyo
Rais Jakaya Mrisho Kikwete akilakiwa na Balozi wa FinladDorah Msechu katika uwanja wa ndege wa Helsinki alipowasili tayari kwa ziara ya siku tatu ya nchi hiyo
Rais Jakaya Kikwete akitembelea maabara ya majaribio ya kampuni ya kutengeza lifti ya KONE jijini Helsinki, Finland. Rais Kikwete akipokea zawadi ya jezi ya timu ya taifa ya Finland ya basketball JK akitoa zawadi ya mchoro wa Tingatinga kwa viongozi wa kampuni ya KONE JK akitembelea bandari ya Helsinki
f8 to f14 Rais Kikwete akipata mapokezi Rasmi kwa mwenyeji wake Rais wa Finland Mhe Sauli Niinisto
PICHA NA IKULU
This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.
0 comments :
Post a Comment