Mkuu wa mkoa wa Kilimanjaro,Leonidas Gama akizungumza katika hafla fupi ya makabidhiano hayo. |
Baadhi ya wanafunzi katika shule ya sekondari Nuru wakimsikiliza RC Gama (hayupo pichani). |
Mkuu wa wilaya ya Siha,Dkt Charles Mlingwa akizungumza katika hafla hiyo. |
Bweni la wanafunzi lililojengwa kwa ufadhili wa hifadhi za taifa (TANAPA) katika shule ya sekndari Nuru wilayani Siha. |
Kaimu mkurugenzi mkuu wa TANAPA,Ibrahim Musa akizungumza katika hafla hiyo juu ya dhana ya ujirani mwema inayofanywa na Shrika la Hifadhi za Taifa,(TANAPA) kwa jamii zinazozunguka hifadhi za taifa. |
Mkuu wa mkoa wa Kilimanjaro ,Leonidas Gama akikata utepe katika Bweni hilo , |
Mku wa mkoa wa Kilimanjaro Leonidas Gama akiwa ndani ya Bweni hilo. |
Wananfunzi katika shule hiyo wakimsikiliza mkuu wa Mkoa marabaada ya kufungua rasmi Bweni hilo. |
Na Dixon Busagaga wa Globu ya Jamii Kanda ya Kaskazini. |
0 comments :
Post a Comment