Nyalandu akisalimiana na vijana waliofika kumdhamini. |
Baadhi ya vijana hao waliojitokeza kumdhamini Nyalandu. |
Katibu wa Chama cha Mapinduzi wilaya ya Moshi mjini ,Loth Ole Nesele akizungumza wakati akimkaribisha Nyalandu kuzungumza na iajana hao. |
Mke wa Waziri wa Maliasili na Utalii,LAzaro Nyalandu,Faraja Nyalandu akisalimia wananchi waliofika kumdhamni mumewe. |
Waziri wa Maliasili na Utalii ,Lazaro Nyalandu akizungumza na wananchi hao ambao wengi wao ni viajana waliofika kwa ajili ya kumdhamini. |
Katibu wa CCM wilaya ya Moshi mjini,Loth Ole Nesele akimkabidhi Waziri Nyalandu fomu ya majina ya wanachama wa chama chama mapinduzi waliojitokeza kumdhamini. |
Waziri wa Maliasili na Utalii,Lazaro Nyalandu akiwashukuru vijana hao waliojitokeza kwa wingi kumdhamini. Na Dixon Busagaga wa Globu ya Jamii Kanda ya Kaskazini. |
0 comments :
Post a Comment