Mbunge Nassar akifunga mikanda tayari kwa kuanza ziara. |
Mbunge Joshua Nassar akitelemka kutoka katika helkopta wakati alipofika katika kata ya Shambalai Burka kwa ajili ya kuhamasisha wananchi kujitokeza kujiandikisha. |
Baaadhi ya wananchi wakiwa wamembeba Mbunge Joshua Nassar mara baada ya kuwasili katika uwanja wa Shambarai Burka. |
Mbunge Joshua Nassar akisalimiana na mmoja wa watoto waliojitokeza kumpokea. |
Kundi la kina mama pia walikuwa miongoni wananchi waliojitokeza kumpokea Mbunge Nassar. |
Mbunge Joshua Nassar akiwa na viongozi wengine wa Chadema wilaya ya Arumeru. |
Mwenyekiti wa Chadema wilaya ya Arumeru ,Gadiel Mwenda akizungumza katika mkutano uliofanyika kata ya Shambarai Burka kuhamasisha wanachi kujitokeza katika zoezi la uandikishwaji. |
Baadhi ya wananchi waliojitokeza katika mkutano huo. |
Mbunge Nassar pia alitumia mkutao huo kuwaonesha wananchi magari mawili ya kubeba wagonjwa aliyotoa kwa ajili ya Halmashauri ya wilaya ya Arumeru. |
Magari mawili ya kubebea wagonjwa yaliyotolewa na Mbunge wa jimbo la Arumeru Mashariki kwa ajili ya watu wa jimbo hilo. |
Mbunge Nassar akiwaapisha wananchi ikiwa ni moja ya hamasa kujitokeza katika kujiandikisha katika daftari la kudumu la wapiga kura. |
Mbunge Nassar akiondoka katika uwaja huo mara baada ya kumalizza mkutano wa hadhara. Na Dixon Busagaga wa Globu ya Jamii Kanda ya Kaskazini. |
0 comments :
Post a Comment