Mwenyekiti wa shule ya msingi Pasua Shaban Machivya akizungumza wakati wa kikao cha wazi kilichofanyika katika shule hiyo. |
Baadhi ya wazazi wa watoto wanaosoma katika shule ya msingi Pasua wakimsikiliza Mwenyekiti wa shule hiyo Shaban Machivya (hayupo pichani) |
Mwenyekiti wa shule ya msingi Pasua ,akisisitiza jambo katika mkutano huo. |
Msathiki Meya wa manispaa ya Moshi ,Jafary Michael akizungumza wakati wa kikao cha wazazi wa watoto wanaosoma katika shule hiyo. |
Mstahiki Meya wa manispaa ya Moshi Jafary Michael akimkabidhi mwenyekiti wa Shule ya msingi Pasua Shabani Machivya msaada wa Kompyuta kwa ajili ya shule hiyo. |
Kompyuta zilizotolewa na msathiki Meya wa manispaa ya Moshi,Jafary Michael kwa ajili ya shule ya msingi Pasua. |
Baadhi ya wazazi waliofika katika mkutano wa wazazi na shule, |
Mstahiki Meya akizungumza. Na Dixon Busagaga wa Globu ya Jamii Kanda ya Kaskazini |
0 comments :
Post a Comment