![]() |
| Magari yaliyokuwa yakitumiwa na watalii wa ndani waliokuwa wakipanda kwenda kilele cha Shira yakiwa yameegeshwa baada ya kushindwa kuendelea na safari kutokana na ubovu wa barabara . |
![]() |
| Baadhi ya watalii wa ndani wakiwa eneo la kambi ya Tembo wakisubiri magari madogo ya hifadhi ya taifa ya mlima Kilimanjaro (KINAPA) kwa ajili ya kuwachukua kuwapeleka katika hifadhi hiyo. |
![]() |
| Watalii wa ndani walilazimika kupanda magari ya aina hii ili kufika katika kilele cha Shira. |
![]() |
| Safari ya kuelekea kilele cha Shira ikianza. |
![]() |
| Baadhi ya watalii wa ndani. |
![]() |
| Hali ya hewa katika eneo hili ni ya kubadilika . |
![]() |
| Watalii wa ndani wakielekea katika kilele. |
![]() |
| Wengine walikuwa na furaha mara baada ya kufika katika uwanda wa Shira. |
![]() |
| Wengine waliamua kupumzika njiani.kama anvyoonekana m,wandishi James Paul wa ITV. |
![]() |
| Hatimaye magari yaliyokuwa yameshindwa kupita kutokana na ubovu wa barabara yalifanikiwa kupita na kupanda kuwachukua watalii wa ndani. Na Dixon Busagaga wa Globu ya Jamii Kanda ya Kaskazini. |















0 comments :
Post a Comment