Watoa ushauri wa shirika linalotoa msaada wa kisheria na elimu ya haki za binadamu mkoani Kilimanjaro(KWIECO)wakiimba wakati wa ufunguzi wa kituo hicho. |
Mjumbe wa Bodi ya Wakurugenzi ya KWIECO ,Clement Kwayu akitoa neno la ukaribisho kwa niaba ya Mwenyekiti wa Bodi Loe Rose Mbise wakai wa sherehe ya uzinduzi wa kituo hicho. |
Katibu tawala wa mkoa a Kilimanjaro ,Martha Ufunguo akitoa salama za mkoa kwa niaba ya Mkuu wa Mkoa Leonidas Gama wakati wa uzinduzi wa kituo hicho. |
Mjumbe wa bodi ya wakurugenzi wa KWIECO,Jaji Aishiel Sumari akitoa neno la shukrani mara baada ya hotuba ya mgeni rasmi ,Balozi wa Finland Tanzania Mh. Antila Sinikka. |
Meneja wa Benki ya Azania tawi la Moshi,Hajira Mmambe akizungumza kwa niaba ya wadau wa Kwieco wakati wa sherehe hizo. |
Balozi wa Finland Tanzania Mh. Antila Sinikka akikata utepe kuashiria kuazna kutumika kwa majengo hayo. |
Balozi wa Finland Tanzania Mh. Antila Sinikka akifurahia jambo mara baada ya kufungua kitambaa kuashiria uwekaji wa jiwe la msingi katika kituo hicho. |
Balozi wa Finland Tanzania Mh. Antila Sinikka akiwa katika picha ya pamoja na watoa ushauri. |
Balozi wa Finland Tanzania Mh. Antila Sinikka alikabidhi kitabu cha "Politics of Gender "kwa mkurugenzi wa Kwieco ,Elizabeth Minde. |
Maeneo mbalimbali ya kituo hicho. Na Dixon Busagaga wa Globu ya Jamii Kanda ya Kaskazini. |
0 comments :
Post a Comment