NAIBU KAMANDA WA UCCM WILAYA YA MOSHI VIJIJINI ATOA MSAADA WA KITI CHA WALEMAVU CHA BAISKELI KWA MTOTO FELISTA SHIRIMA ALIYEGONGWA NA FUSO NA KUMSABABISHIA KUKATWA MIGUU YOTE MIWILI.

Mama mzazi wa mtoto Felista Shirima akieleza kwa uchungu namna ambavyo mtoto wake alivyopata ulemavu wa kudumu.
Babu wa mtoto Felista,Anold Shirima akiwasilisha ombi kwa jamii la kupata wakili kwa ajili ya usikilizwaji upya wa kesi dhidi ya watu waliosababisha ajali ya mtoto huyo.
Naibu Kamanda wa jumuiya ya vijana wa CCM(UVCCM) Innocent Melleck akizungumza mara baada ya kutembelea familia ya mtoto Felista wa kijiji cha Rauya Marangu wilaya ya Moshi vijijini.
Baadhi ya atoto na ndugu wengine waliofika nyumbani kwa mtoto huyo.
Melleck alikabidhi kiti cha walemavu cha magurudumu kwa mtoto Felista kwa ajili ya kusaidia wakati wa kwenda shuleni.
Mellecky pia alikabidhi Pempers kwa ajili ya mtoto huyo.
Familia na wanandugu wngine wa mtoto Felista wakiwa katika picha ya pamoja na Naibu Kamanda wa UVCCM wilaya ya Moshi vijijini ,Innocent Melleck mara baada ya kukabidhi msaada wa baiskeli .
Mama mzazi wa mtoto Felsita akitabasamu akiwa amembeba mtoto wake mara baada ya kupokea msaada wa baiskeli,Pempers na Chakula kwa ajili ya mtoto wake,hata hivyo mamahuyo bado anahitaji msaadawa kiasi sha sh Mil,1.5 kwa ajili ya malipo ya matibabu ya mtoto huyo anayodaiwa katika hosptali ya rufaa ya KCMC.


Na Dixon Busagaga wa Globu ya jamii ,kanda ya kaskazini.

About mahamoud

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.
    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 comments :

Post a Comment