Rais Kikwete na mgeni wake katika dhifa ya kitaifa aliyomwandalia
Sindimba
Kinamama wa kikundi cha Mount Usambara hawako nyuma
Rais Kikwete akisogea sehemu ya kumpokea mgeni
Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa Mhe Bernad Membe akisalimiana na balozi wa Tanzania nchini Msumbiji Mhe Shamim Nyanduga. Katikati ni Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu (TAMISEMI) Mhe Hawa Ghasia
Rais Kikwete akiongea na Flower girl Elizabeth Jackson aliye tayari kumkabidhi mgeni shada
Rais Nyuzi akitelemka katika ndege baada ya kuwasili
"....Karibu nyumbani..." anasema Rais Kikwete anapomlaki Rais Nyusi
Wanakumbatiana kwa furaha
Rais Nyusi anapokea shada la maua kutoka kwa mtoto Elizabeth
Rais Nyusi anamshukuru Elizabeth kwa maua
Rais Nyusi akitambulishwa kwa balozi Shamim Nyanduga
Rais Nyusi akitambulishwa kwa mkuu wa Mkoa wa Ruvuma Mhe. Saidi Mwambungu
Rais Nyusi akitambulishwa kwa wasaidizi wa Rais
Rais Kikwete na Mgeni wake wanasimama jukwaa maalumu wakati wa nyimbo za Taifa zikipigwa
Askari hodari wakipiga mizinga 21 kwa mbali kule
Rais Nyusi anakaribishwa kukagua gwaride la heshima lililoandaliwa kwa heshima yake
Rais Nyusi anakagua gwaride
Rais Nyusi anaendelea kukagua gwaride
Rais Kikwete anatambulishwa wa ujumbe alioongozana nao Rais Nyusi
Rais Nyusi anafurahia ngoma
Msanii wa kikundi cha ngoma ya Mganda akitumbuiza wakati wa mapokezi ya Rais wa Msumbiji Mhe Filipe Nyusi katika uwanja wa ndege wa kimataifa wa Julius Nyerere
Rais Nyusi anawasili hoteli ya Hyatt Regency Kilimanjaro na kulakiwa na meneja mkuu wake
Rais Kikwete akitambulishwa kwa maafisa waliooongozana na Rais Nyusi
Mamia ya wananchi wakimsubiri mgeni Ikulu
Rais Kikwete akiongea na badhi ya vijana waliojitokeza kumpokea Rais Nyusi Ikulu
Rais Kikwete akiongea na badhi ya vijana waliojitokeza kumpokea Rais Nyusi Ikulu
Rais Kikwete akiongea na badhi ya vijana waliojitokeza kumpokea Rais Nyusi Ikulu
Rais Kikwete akiongea na badhi ya vijana waliojitokeza kumpokea Rais Nyusi Ikulu
Zuria jekundu na wananchi vikimsubiri mgeni
Rais Nyusi alakiwa kwa nderemo
Rais Nyusi akilakiwa kwa shangwe
Rais Kikwete akipeana mkono na mgeni wake baada ya mapokezi makubwa
Sehemu ya wanahabari wa Tanzania na Msumbiji wakiwa kazini
Rais Kikwete katika mazungumzo rasmi na mgeni wake
Rais Nyusi akimkabidhi mwenyeji wake zawadi
Rais Kikwete akimkabidhi mgeni zawadi yake
Rais Kikwete na mgeni wake wakiongea kabla ya dhifa ya kitaifa aliyomwandalia
Rais Kikwete na mgeni wake na mawaziri wa nchi zao wakiongea kabla ya dhifa ya kitaifa aliyomwandalia
Rais Kikwete na mgeni wake katika dhifa ya kitaifa aliyomwandalia
Rais Kikwete akihutubia wakati wa dhifa ya kitaifa aliyomwandalia Rais Nyusi
Rais Kikwete agonganishwa glasi na mgeni wake wakati wa dhifa ya kitaifa aliyomwandalia Rais Nyusi
Rais Nyusi akitoa hotuba yake
Sehemu ya mawaziri na mabalozi
Sehemu ya viongozi mbalimbali
Mabalozi wa nchi mbalimbali walioalikwa
Mabalozi
Mawaziri na mabalozi
Rais Kikwete akigonganisha glasi na mgeni wake
Mawaziri wakigonganisha glasi
Mwenyekiti wa CUF Profesa Ibrahim Lipumba na waalikwa wengine
Mkuu wa Wilaya ya Kinondoni Mhe Paul Makonda (kushoto), Mbunge wa Singida Mhe. Mo Dewji, Mwenyekiti wa Yanga Bw. Yusuf Manji na Mkurugenzi Mtendaji wa TPSF Bw. Godfrey Simbeye
Baadhi ya maafisa wa protokali wa Wizara ya mambo ya Nje na Ushirikiano wa kimataifa. Picha zote na IKULU
0 comments :
Post a Comment