MBUNGE LUCY OWENYA AKABIDHI JEZI KWA TIMU ZILIZOFUZU ROBO FAINALI YA LUCY OWENYA CUP 2015

Dkt Fidelis Owenya akikabidhi jezi kwa vilabu nane vilivyo fuzu kucheza hatua ya robo fainali katika mashindano ya kombe la Mbunge lijulikanalo kama Lucy Owenya Cup 2015 yanayofanyika katika jimbo la Moshi vijijini.
Jezi maalumu kwa ajili ya timu zilizo fuzu hatua ya robo fainali katika mashindano ya Lucy Owenya Cup 2015.
Baadhi ya iongozi wa timu zilizofuzu hatua ya robo fainali wakifunga jezi zao mara baada ya kukabidhiwa kwa ajili ya hatua ya robo fainali.

Na Dixon Busagaga wa Globu ya Jamii Kanda ya Kaskazini.

About mahamoud

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.
    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 comments :

Post a Comment