Hundi iliyotolewa na kampuni ya Megatrade Investment Ltd. |
Mwenyekiti wa chama cha soka mkoa wa Kilimanjaro Gudluck Mushi akizungumza mara baada ya kupokea msaada wa pesa kiasi cha sh Mil,1.5 kutoka kampuni ya Megatrade kwa ajili ya timu ya Kilimnjaro fc. |
Katibu wa Chama cha soka mkoa wa Kilimanjaro,Mohamed Musa akitoa neno la shukrani mara baada ya kupokea msaada wa fedha toka kampuni ya Megatrade. |
Katibu wa kundi la mtandao wa Soka letu ,Godfrey Madegwa akizungumza namna ambavyo kundi hilo la wadau linavyo pambana kutafuta fedha za kuisadia klabu ya Kilimanjaro fc. |
0 comments :
Post a Comment