Askari wa uwongo (FAKE) wa usalama barabarani, akiduwaa mara baada ya askari polis kumtia nguvuni jana tarehe 03. 04. 2014, katika eneo la Chamanzi Jijini Dar es Salaam.
Askari Polis ambaye jina lake halikupatikana mara moja, akimkabili askari wa uwongo ( FAKE) wa usalama barabarani aliyekamatwa katika maeneo ya Chamanzi jijini Dar es Salaam.
Picha kwa hisani ya Michuzi blog.
0 comments :
Post a Comment