RAIS DR. ALLY MOHAMMED SHEIN AWAAPISHA MAWAZIRI WAPYA IKULU.

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi  Dk.Ali Mohamed Shein akimuapisha Dk.Sira Ubwa  Mamboya kuwa Waziri wa Kilimo na Maliasili katika Ukumbi wa Ikulu Mjini Zanzibar kabla Dk.Sira alikuwa Naibu Waziri wa
 Afya.
                                       
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi  Dk.Ali Mohamed Shein akimuapisha Juma Duni Haji  kuwa Waziri wa  Miundombinu na Mawasiliano katika Ukumbi wa Ikulu Mjini Zanzibar kabla alikuwa  Waziri wa Afya.
Rais 
wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi  Dk.Ali Mohamed Shein akimuapisha Rashid   Seif Suleiman kuwa Waziri wa Afya,awali alikuwa Waziri wa   Miundombinu na Mawasiliano hafla ya kiapo ilifanyika katika Ukumbi wa Ikulu Mjini Zanzibar jana tarehe 25.08.2014.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi  Dk.Ali Mohamed Shein akimuapisha Mahmoud Thabit Kombo  kuwa Naibu Waziri wa Afya,  hafla ya kiapo ilifanyika katika Ukumbi wa Ikulu Mjini Zanzibar jana tarehe 25.08.2014.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi  Dk.Ali Mohamed Shein akimuapisha Meja mstaafu Juma Kassim Tindwa kuwa Mkuu wa Mkoa wa Kaskazini Unguja,katika hafla iliyofanyika ukumbi wa Ikulu Mjini Zanzibar kabla alikuwa Mkuu wa Mkoa wa Kusini Pemba.

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi  Dk.Ali Mohamed Shein akimuapisha Bw.Omar Khamis Othman kuwa Mkuu wa Mkoa wa Kaskazini  Pemba katika ukumbi wa Ikulu Mjini Zanzibar jana tarehe 25.08.2014.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi  Dk.Ali Mohamed Shein akimuapisha Mwanajuma Majid Abdulla kuwa Mkuu wa Mkoa wa Kusini Pemba katika ukumbi wa Ikulu Mjini Zanzibar jana ,kabla alikuwa Mkuu wa Wilaya ya Chake Chake Pemba.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi  Dk.Ali Mohamed Shein akimuapisha Bw.Ayoub Mohamed Mahmoud kuwa Mkuu wa Wilaya Magharibi  jana katika ukumbi wa Ikulu Mjini Zanzibar,awali alikua Afisa Tawala katika Ofisi ya Mkuu wa Mkoa wa Mjini magharibi Unguja.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi  Dk.Ali Mohamed Shein akimuapisha Bibi Hanuna Masoud Ibrahim kuwa Mkuu wa Wilaya ya  Chake chake Pemba jana katika ukumbi wa Ikulu Mjini Zanzibar.
(Picha zote na Ramadhan Othman Ikulu.]






About mahamoud

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.
    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 comments :

Post a Comment