Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein akiagana na Viongozi mbali mbali katika Uwana wa Ndege wa Kimataia wa Abeid Amani Karume akielekea katika Visiwa vya Samoa kwa ziara ya siku tano.
Picha zote na Ramadhan Othman Ikulu.
0 comments :
Post a Comment