(kushoto), akikanusha kuwepo kwa ugonjwa huo kama ilivyodaiwa na baadhi
vyombo vya habari.
Mkurugenzi Msaidizi wa Dharura na Maafa wa Wizara ya Afya na Ustawi wa
Jamii, Dk.Elias Kwesi, akizungumza katika mkutano na waandishi wa habari
Dares Salaam leo wakati wakikanusha kuwepo kwa ugonjwa wa Ebola nchini.
Mkurugenzi Mkuu wa Viwanja vya Ndege Tanzania (TAA), Suleiman Said
Suleiman akizungumza namna TAA ilivyojipanga kuhakikisha hakuna msafiri
kupitia viwanja vya ndege mwenye ugonjwa huo atakayeingia nchini bila ya
kugundulika.
Msaidizi wa Mkuu wa Kituo cha Uhamiaji Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa
Julius Nyerere (JNIA), Asha Omar akielezea namna Uhamiaji walivyojipanga
kuhakikisha inawatambua wageni wanaoingia nchini hasa wale wanaotoka nchi zilizoathiriwa na ugonjwa huo.
Mkurugenzi Msaidizi wa Dharura na Maafa wa Wizara ya Afya na Ustawi wa
Jamii, Dk.Elias Kwesi, akizungumza katika mkutano na waandishi wa habari
Dar es Salaam leo tarehe 15.08.2014, wakati wakikanusha kuwepo kwa ugonjwa wa Ebola nchini.
Mkurugenzi wa Maabara ya Taifa ya Afya na Ubora, Dk.Fausta Mosha (kulia),
akitoa ufafanuzi wa kimaabara kuhusu ugonjwa huo.
Maofisa kutoka Wizara ya Afya na Ustawi wa Jamii wakiwa kwenye mkutano huo.
Kutoka kushoto ni Ofisa Afya Mfawidhi wa JNIA, George Ndaki, Mkurugenzi
Msaidi wa Ufuatiliaji wa Ugonjwa, Janeth Nghambi, Mkurugenzi wa Maabara ya
Taifa ya Afya na Ubora, Dk.Fausta Mosha na Mkurugenzi Msaidizi Afya na Usafi
wa Mazingira, Elias Chinamo.
Wanahabari na wadau wengine kutoka Wizara ya Afya na Ustawi wa Jamii na Uwanja wa Ndege wakiwa kwenye mkutano huo.
(Picha Dotto Mwaibale).
0 comments :
Post a Comment