MISS ETHIOPIA NDIYE MISS AFRICA USA, JOY KALEMERA AWA WANNE.

Miss Ethiopia akifurahia taji la kuwa Miss Africa, katika mashindano yaliyofanyika Rockville  Maryland nchini Marekani, na kuhudhuriwa na watu mbalimbali akiwemo Mhe. Balozi Liberata Mulamula, Balozi wa Tanzania nchini Marekani. Mshiriki wa Tanzania, Joy Kalemera ameshika nafasi ya 4 kati ya washiriki 20 walioingia fainali hizo.
Washiriki watano waliopata nafasi ya kuingia tano bora, kutoka kushoto ni Miss Tanzania aliyeshika na 4, Miss Uganda aliyeshika na 2, Miss Ethiopia aliyeshinda, Miss Guinea aliyeshika namba 3 na Miss Nigeria aliyeshika namba 5.
 
Miss Ethiopia akipata picha ya pamoja na washindi namba 2 na 3 ambaye ni Miss Uganda na Miss Guinea.
Miss Ethiaopia akipata picha na wageni akiwepo Mhe. Balozi Liberata Mulamula.
Washiriki wote 20 katika picha ya pamoja.

About mahamoud

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.
    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 comments :

Post a Comment