AJALI MBAYA YA MABASI YA AU ABIRIA WASIO PUNGUA 16 WAKIWEMO MADEREVA WOTE 2.

Wananchi wakiangalia mabasi hayo jinsi yalivyo gongana, na kusababisha maafa.

Na Mwandishi wetu.

 Mabasi ya Sabena na Dream line yagogana uso kwa uso maeneo ya Mkolye wilayani Sikonge mkoani Tabora leo tarehe 19.08.2014 jioni hii. Inasemekana abiria 70 ni wamejeruhiwa na abiria 16 wakiwemo madereva wa mabasi yote mawili wamefariki Dunia.
                           .Baadhi ya abiria waliokua wakisafiri wakiwa tayari wameshapoteza maisha.
                   Pichani ni mashuhuda wa ajali hiyo mbaya wakishangaa jinsi mabasi hayo yalivyo gongana.

About mahamoud

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.
    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 comments :

Post a Comment