ZITTO KABWE ATAKA WABUNGE WAPIMWE KAZI WALIZO ZIFANYA NA SI KWA POROJO MAJUKWAANI.


                                           Zitto Kabwe akihutubia mkutano wa hadhara Iringa mjini.
                                    Suleimani Misndi alimaarufu Afande Sele akihutubia
.............................................................................................................................................

                                                                 Na Mwandishi wetu

KIONGOZI cha Alliance for Change and Transparency (ACT-wazalendo  )Zitto Kabwe amewataka watanzania kuwapima wabunge wao kwa kazi walizofanya majimboni badala ya kuwapima kwa Maneno ya majukwaani.

Kabwe ameyasema hayo wakati akiwahutubia  wakazi wa jimbo la Iringa mjini katika uwanja wa Mwembetogwa leo.

Amesema kuwa viongozi wa upinzani wamekuwa wepesi kupiga kelele za ufisadi na kusahau ufisadi wao .
                         
Amewataka wananchi kuepuka porojo za wapinzani dhidi yake na kuwataka wampime kwa utendaji kazi wake bungeni na nchi ya bunge.

Kwani Asema wapo wabunge ambao ni mabingwa wa kusema bungeni ila majimboni hakuna walilofanya .

Pia amesema kwa upande wa ACT wameanza vema kuwa wazalendo kwa kutangaza Mali zao na pia kupinga ufisadi wazi wazi.

About mahamoud

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.
    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 comments :

Post a Comment