Familia aliye kuwa waziri mkuu wa Tanzania hayati Edward Moringe Sokoine wakiwa katika ibada maalumu ya maadhimisho ya kifo chake nyumbani kwake monduli juu, siku ambayo huadhimishwa April 12 kila mwaka
Wake wa aliye kuwa waziri mkuu wa Tanzania hayati Edward Moringe Sokoine , wakiweka mashada ya maua kwenye kaburi la mume wao nyumbani kwake eneo la monduli Juu wilayani monduli mkoani Arusha wakati wa maadhimisho ya siku ya kifo chake siku ambayo huadhimishwa April 12 kila mwaka.
Watoto wa kiume wa aliyekuwa Waziri Mkuu wa zamani wa Tanzania, Hayati Edward Moringe Sokoine, Kutoka kushoto: Joseph Sokoine,Tumaini Sokoine na Ibrahimu Sokoine wakiweka shada la maua kwenye kaburi la baba yao nyumbani kwake eneo la Monduli Juu Wilayani Monduli mkoani Arusha wakati wa maadhimisho ya siku ya kifo chake jana.
Watoto wa kike wa aliyekuwa Waziri Mkuu wa zamani wa Tanzania, Hayati Edward Moringe Sokoine, Kutoka kushoto: Maria Sokoine,Joyce Sokoine ,Mbunge wa Viti Maalum Namelock Sokoine na Seki Sokoine wakiweka shada la maua kwenye kaburi la baba yao nyumbani kwake eneo la Monduli Juu Wilayani Monduli mkoani Arusha wakati wa maadhimisho ya siku ya kifo chake jana.
Mbunge wa Viti Maalum, Namelock Sokoine akiwa na kaka yake ibrahim Sokoine katika kumbukumbu ya kifo cha baba yao aliyekuwa Waziri Mkuu wa Tanzania.
Mbunge wa Viti Maalum na Mtoto wa aliye kuwa waziri mkuu wa zamani hayati Edward Moringe Sokoine, Namilock Sokoine akiongea na baadhi ya wazee wa kimaasai baada ya misa maalumu ya maadhimisho ya kifo cha Sokoine amabayo yalifanyika nyumbani kwa marehemu eneo la Monduli juu wilayani Monduli mkoani Arusha jana.
Mbunge wa viti maalu, Namelock Sokine akizungumza na wadau
0 comments :
Post a Comment