Ajali ya Hiace imeua watu kadhaa eneo la Uwanja wa ndege Kiwila Wilayani Rungwe Mkoani Mbeya.
Wadau Niko eneo la tukio, mpaka sasa miili mingi imefanikiwa kutolewa. Kwani Hiace hii ilidumbukia mtoni na bado miili miwili imenaswa, ndo inatolewa muda huu.
Watu wawili tu ndio wamepona akiwemo kondakta. Ajali hii imetokea wakati Coaster zinazofanya safari zake kati ya Mbeya na Kyela kugoma hivo baadhi ya hiace za mjini kuamua kubeba abiria. Inaonekana ni ugeni Wa barabara, speed na gari kukosa break za kuaminika.

0 comments :
Post a Comment