IPTL YAIMWAGIA TASWA MILIONI 20 KUANDAA TUZO ZA WANAMICHEZO


Mwenyekiti Mtendaji wa Kampuni ya Kufua Umeme ya IndependentPower Tanzania Limited (IPTL), Harbinder Sigh Seth (kushoto) akikabidhi mfanowa hundi yenye thamani ya shilingi Milioni 20 kwa Mwenyekiti wa Chama chaWaandishi wa Habari za Michezo Tanzania (TASWA), Juma Pinto (wapili kulia) ikiwa nimchango wa IPTL kusaidia maandalizi ya Tuzo za wanamichezo bora nchini. 

Wanaoshuhudia kutoka kushoto ni ni Makamu Mweyekiti wa TASWA, Egbert Mkoko, Katibu Mkuu, Amir Mhando na Mwanasheria na Mshauri Mkuu wa IPTL, Joseph Makandege na kulia ni Mjumbe wa TASWA, Rehure Richard Nyaulawa.
Mwenyekiti wa TASWA, Juma Pinto akizungumza na wanahabari baada ya kupokea fedha hizo.
Mwenyekiti Mtendaji wa Kampuni ya Kufua Umeme ya Independent

Power Tanzania Limited (IPTL), Harbinder Sigh Seth akiwaeleza wanahabari furaha yake ya kuisaidia TASWA kitita hicho cha fedha kusaidia wanamichezo ambapo nae alikiri kuwa ni miongoni mwa wanamichezo na amewahi kuwa Mshindi wa tatu wa Mbio za Magari Afrika.

Power Tanzania Limited (IPTL), Harbinder Sigh Seth akiwaeleza wanahabari furaha yake ya kuisaidia TASWA kitita hicho cha fedha kusaidia wanamichezo ambapo nae alikiri kuwa ni miongoni mwa wanamichezo na amewahi kuwa Mshindi wa tatu wa Mbio za Magari Afrika.Mwenyekiti Mtendaji wa Kampuni ya Kufua Umeme ya Independent

Power Tanzania Limited (IPTL), Harbinder Sigh Seth (katikati) akiwaongoza wanahabari kuangalia mitambo ya Kampuni hiyo ambayo inazalisha umeme. Kulia ni Katibu mkuu wa TASWA, Amir Mhando na Kushoto ni Mwenyekiti wa TASWA, Juma Pinto.

Power Tanzania Limited (IPTL), Harbinder Sigh Seth (katikati) akiwaongoza wanahabari kuangalia mitambo ya Kampuni hiyo ambayo inazalisha umeme.

 Kulia ni Katibu mkuu wa TASWA, Amir Mhando na Kushoto ni Mwenyekiti wa TASWA, Juma Pinto.Waandishi wa habari wakiingia kuangalia uzalishaji wa umeme katika mitambo ya IPTL.

About mahamoud

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.
    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 comments :

Post a Comment