Wanajeshi wa JWTZ na vikosi vingine vya uokoaji wakiendelea kuopoa maiti zilizo zama ndani ya Ziwa Tanganyika kufuatia ajal ya mtumbwi iliyotokea katika kijiji cha Kalalangabo.
Wakati ndugu jamaa na watu wengine wakiwa wametoka kuoa katika kijiji cha Mwandiga.
Mpaka tunakwenda mitamboni taarifa zinasema kwamba maiti zilizokuwa zimekwishapatikana ni maiti kumi (10).
BIBI HARUSI ALIYENUSURIKA KIFO BAADA YA MTUMBWI ALIOKUWA AKISAFIRIA KUZAMA KATIKA KIJIJI CHA KALALANGABO MWAMBAO MWA ZIWA TANGANYIKA AKIWA NA NDUGU NA JAMAA NA WASHEREHEKEAJI WENGINE, WAKE KWA WAUME WAKIEKIENDELEA NA MATIBABU KATIKA HOSPITAL YA MKOA WA KIGOMA.
PICHA ZOTE NA EDITH KARLO- KIGOMA.
0 comments :
Post a Comment