HII NDIO MELI YENYE ZAHANATI NDANI, MELI HII IPO KATIKA ZIWA VICTORIA JIJINI MWANZA- (VIDEO YA ZAHANATI).
Maelfu ya wakazi katika visiwa kwenye Ziwa Victoria watapata huduma ya kwanza ya aina yake, kupitia hospitali iliyojengwa ndani ya meli. Ziwa Victoria linaunganisha nchi za Tanzania, Kenya, na Uganda. Wakazi katika eneo hilo la Afrika Mashariki walikuwa wakilazimika kutoa fedha nyingi kukodisha boti
0 comments :
Post a Comment