Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akimkaribisha Balozi mpya wa Tanzania nchini Urusi, Luteni Generali Wyjones Matthew Kisamba, wakati alipofika Ofisini kwa Makamu Ikulu jijini Dar es Salaam, leo Julai 28, 2014 kwa ajili ya kumuaga akielekea kuanza kazi.
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akizungumza na Balozi mpya wa Ujerumani nchini Tanzania, Balozi Egon Kochanke, wakati alipofika Ofisini kwa Makamu Ikulu jijini Dar es Salaam, leo Julai 28, 2014 kwa ajili ya kujitambulisha kuanza kazi.

Picha na Omr.
0 comments :
Post a Comment