Didier Drogba
Paul Pogba
Bayern Munich wapo tayari kutoa pauni milioni 33 kuwazidi kete Barcelona kumsajili Juan Cuadrado, 26, kutoka Fiorentina (Bild), Paris St-Germain huenda wakashindwa kumsajili Paul Pogba, 21, kutokana na sheria za matumizi ya fedha. Hali hiyo inatoa mwanya kwa Real Madrid na Manchester United zinazotaka kumsajili (Lefigaro) hatma ya Xherdan Shaqiri haifahamiki baada ya mazungumzo ya kuhamia Liverpool kukwama. Kiungo huyo wa Bayern Munich pia anasakwa na AS Roma na Juventus (Bild) Atlètico Madrid wako makini kumsajili tena Fernando Torres na wameanza mazungumzo ya kutaka kutoa pauni milioni 12.6 (Eurosport), matumaini ya Arsenal na Chelsea ya kumsajili Sami Khedira huenda yakawa yamepata pigo baada ya Real Madrid kuwapa Monaco mchezaji huyo atakayenunuliwa kwa takriban pauni milioni 20 (Daily Mirror). Tetesi nyingine kesho tukijaaliwa. Cheers!!!!!

0 comments :
Post a Comment