DUBAI KUJENGA JIJI LINALOWEZA KUDHIBITIWA TABIA NCHI (CLIMATE-CONTROLLED CITY) NA MALL KUBWA ZAIDI DUNIANI

Ikiwa tayari ni sehemu yenye maduka makubwa ya ndani kwa ndani ya shopping, Dubai Mall, imesema inapanga kujenga ‘Mall ya dunia’ “Mall of the World”.
    Kampuni ya Dubai Holding, inayomilikiwa na kiongozi wa Dubai, Sheikh Mohammed bin Rashid al-                   Maktoum imesema jengo hilo litakuwa na ukubwa wa square meta milioni 4.45.
Dubai ina imani kuwa “Mall of the World” inaweza kuvuta wageni zaidi ya milioni 180 kila mwaka.

About mahamoud

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.
    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 comments :

Post a Comment