WAUMINI WA MWEMBETANGA KWA KARAGOSI WAADHIMISHA MAULIDI YA MFUNGO SITA

Muongozaji Maulidi ya Mwembetanga kwa karagosi MC Imam Sadat Fadhil Abdullah akiongea Mipangilio ya maulid kwa ratiba maalumu iliopangwa na wana kamati ya maandalizi ya Maulidi hayo.

 Wazee wa mtaa wa M/Tanga Hajji AbdulAziz na Sheik Ahmed wakiwa makini kusikiliza maulid ya Mtume Muhammad yalioandaliwa na  vijana pamoja na wazee wa Mwembe Tanga Siku ya Jumatatu Jan 13, 2014 Zanzibar.
 Waumini wa kiIslamu kutoka maeneo mbali mbali wakiwa katika  maulid ya Mtume Muhammad Salallahu alayhi wasalam, yaliyoandaliwa na vijana pamoja na wazee wawa Mwembe Tanga Siku ya Jumatatu Jan 13, 2014 Zanzibar.

About mahamoud

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.
    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 comments :

Post a Comment