VIJANA 500 wa Chama cha Mapinduzi wakiwa katika matembezi ya siku tatu kuadhimisha miaka 51 ya Mapinduzi ya Zanzibar wakiwa katika eneo la Rahaleo.(Picha na Haroub Hussein).
MAKAMU Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi (UVCCM), Mhe. Mboni Mhita akiongoza matembezi ya siku tatu ya Vijana mia tano kutoka mikoa mbali mbali ya Zanzibar na Tanzania bara kuadhimisha miaka 51 ya Mapinduzi ya Zanzibar, ambapo vijana hao walitembea mikoa yote mitatu Unguja.(Picha na Haroub Hussein).
NAIBU Waziri wa Afrika Mashariki, Mhe. Juma Sadalla( mbele kushoto) akiungana na Vijana 500 wa Chama cha Mapinduzi katika matembezi ya siku tatu kuadhimisha miaka 51 ya Mapinduzi ya Zanzibar.(Picha na Haroub Hussein).
-
Blogger Comment
-
Facebook Comment
Subscribe to:
Post Comments
(
Atom
)
0 comments :
Post a Comment