FLAVIANA MATATA FOUNDATION YATOA VIFAA VYA SHULE KATIKA SHULE YA MSINGI MSINUNE

Taasis ya Flaviana Matata ‘FMF’ ya Mwanamitindo Flaviana Matata aishie New York ,Nchini Marekani. Mwaka jana ilisaidia watoto 3000 kwa kuwapa vifaa vya kujifunzia.

Mwaka huu itaendelea kuwasaidia watoto hao hao wakati inaangalia namna ya kutatua matatizo mengine yanayozikabili Shule hizo ili kuboresha elimu nchini.
Yakiwemo mavazi, majengo na hata vyakula vya shule kwa shule za pembezoni
Zoezi litaendelea kwa shule zingine za mikoani ukiwemo Mkoa wa Shinyanga, Lindi na Arusha kwa kuanzia. 

Bado Flaviana Matata Foundation inahamasisha yeyote akataeguswa ikiwa ni shirika , kampuni au mtu binafsi atakaeguswa kuwasiliana nao kupitia info@flavianamatatafoundation.org au piga simu +255 784 200 680
.Pichani ni wanafunzi wa Shule ya Msingi Msinune iliyopo kata ya Kiwangwa katika wilaya ya Bagamoyo leo team ya FMF ilopotembelea Shule hiyo kuendelea zoezi lake

Msimu wa wanafunzi kurejea mashuleni ndio kwanza umeanza ukiwa kama kampuni, mtu binafsi ukiguswa na ungependa kusaidia tafadhali wasiliana na info@flavianamatatafoundation.org au piga simu +255 784 200 680.

About mahamoud

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.
    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 comments :

Post a Comment