NGULI WA MUSIC WA KIZAZI KIPYA NCHINI, LADY JAY DEE ANAWAKARIBISHA KTK SHOW YA NGUVU SIKU YA IJUMAA TAR 30. 01. 2015.

Wapenzi wa burudani  ya muziki wa kizazi kipya  watapata burudani ya nguvu kutoka kwa gwiji wa muziki wa kizazi kipya hapa nchini Lady Jay Dee. Burudani hiyo  itakuwa weekend shii ya  siku ya Ijumaa ya tarehe 30. 01.2015, katika viwanja vya Nyumbani Lounge kwa kiingilio cha sh. elfu 10000 tu jijini Dar es Salaam.


About mahamoud

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.
    Blogger Comment
    Facebook Comment

1 comments :