RAIS KIKWETE AWAAPISHA BALOZI MPYA WA TANZANIA NCHINI KENYA NA NAIBU KATIBU MKUU WIZARA YA FEDHA

Pichani Balozi mpya wa Tanzania nchini Kenya Bwana John Haule akila kiapo mbele ya Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete Ikulu jijini Dar es salaam leo asubuhi.
Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete leo amewaapisha Balozi mpya wa Tanzania nchini Kenya na Naibu Katibu mkuu wa Wizara ya Fedha.Katika hafla hiyo iliyofanyika ikulu jijini Dar es Salaam.
Naibu katibu mkuu Wizara ya Fedha, Dkt.Hamisi Mwinyimvua akila kiapo mbele ya Rais ikulu jijini Dar es Salaam leo.
Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akiirekebisha tai ya mtoto Amani Mwinyimvua(11) muda mfupi baada ya kumwapisha Baba yake Hamis Mwinyimvua kuwa Naibu Katibu Mkuu Wizara ya Fedha katika hafla iliyofanyika ikulu jijini Dar es Salaam leo asubuhi (picha na Freddy Maro)

About mahamoud

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.
    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 comments :

Post a Comment