DIVA PARTY GALA ni party maalumu kwa ajili ya kuwakutanisha akina mama wajasiria mali mbalimbali.
Lengo la DIVA PARTY GALA ni kuwa wezesha na kuwapa nafasi akina mama kuzitangaza bidhaa zao mbali mbali za kibiashara. Pia niparty takayokupa mafunzo ya ujasiria mali, maisha na ndoa, afya n.k.
Party hii itafanyika Mbezi beach Garden Hotel kama linavyoonesha bango hapo juu.
Jinsi ya kushiriki katika party hii unatakiwa uchangie japo kiasi kidogo cha tsh 35000 tu kabla ya siku yenyewe ya party na endapo utachelewa unaweza kuja moja kwa moja na mchango wako ila kwa siku hiyo hiyo itabidi uchangie kiasi cha tsh 40000.
Watoa mada watakuwa ni Mama Victor, Kungwi Samina na timu yake, Haika Lawere na Dr. Chris Mauki.
Hivyo akina mama wote mnakaribishwa.
Kwa maelezo ya kina juu ya DIVA PARTY GALA piga simu.
0719 500 882 au 0788 466 252.
Home
/
Kitaifa
/
news
/
DIVA PARTY GALA. PARTY YA KWA AJILI YA AKINA MAMA TU ITAKAYOFANYIKA TAR 22.02.2015.
-
Blogger Comment
-
Facebook Comment
Subscribe to:
Post Comments
(
Atom
)
0 comments :
Post a Comment