Kaimu Mhifadhi Utalii wa Hifadhi ya Taifa Mikumi, Apaikunda Mungure akigawa vipeperushi kwa warembo.
Warembo walibahatika kuwaona Simba zaidi ya Saba wakiwamepumzika chini ya mti.
Warembo wa Redd’s Miss Tanzania wakiongozwa na Matron wao, Gladness Chuwa mbugani Mikumi.
Warembo wakipiga picha na watalii waliowakuta Mikumi.
Punda milia nao walionekana kwa wingi.
Wakisikiliza maelezo juu ya Viboko kutoka kwa Benina Mwananzila.
Warembo wakipata maelezo katika kituo cha Mbuyu.
Muongoza watalii Ibrahim Kassim akitoa maelezo kwa washiriki wa shindano la Redd’s Miss Tanzania 2014.
Tembo nao walikuwepo.
0 comments :
Post a Comment