Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Jakaya Kikwete akipokea tuzo ya Heshima ya kuhamasisha amani na utulivu barani Afrika kutoka kwa Rais wa Umoja wa Vijana wa Afrika uliochini ya Umoja wa Afrika (AU) Francine Furaha Muyumba.
Rais Jakaya Mrisho Kikwete akihutubia wajumbe wa waliohudhuria Kongamano la Tatu la Viongozi Vijana wa Afrika na China lililofanyika Ngurdoto,Arusha.
Rais wa Umoja wa Vijana wa Afrika ulio chini ya Umoja wa Afrika Francine Furaha Muyumba akihutubia katika kongamano hilo.
Rais Jakaya Kikwete (kulia),Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana (katikati) na Naibu Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais (Mazingira)Stepehen Masele wakisikiliza hotuba ya Rais wa Umoja wa Vijana wa Afrika ulio chini ya Umoja wa Afrika Francine Furaha Muyumba.
Bendi ya Polisi ya Moshi (brass band) ikitumbuiza wakati wa Kongamano.
Katibu wa NEC Itikadi na Uenezi CCM Taifa Nape Nnauye akifuatilia kwa makini hotuba za viongozi mbali mbali wakati wa Kongamano.
Makamu Mwenyekiti wa Kamati ya Baraza la Ushaur Kisiasa la Watu wa China pia Waziri wa Idara ya Kimataifa wa Kamati ya Chama cha Kikomunisti cha China Dk.Wang Jiarui akiingia ukumbini akiongozana naNaibu Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais (Mazingira)Stepehen Masele
Baadhi ya wajumbe kutoka China.
Baadhi ya wajumbe wa kongamano.
Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahaman Kinana akihutubia katika Kongamano la Tatu la Viongozi Vijana wa Afrika na China lililofanyika Ngurdoto,Arusha.
Makamu Mwenyekiti wa Kamati ya Baraza la Ushauri wa Kisiasa la Watu wa China pia Waziri wa Idara ya Kimataifa wa Kamati Kuu ya Chama cha Kikomunisti cha China Dk.Wang Jiaruiakihutubia wakati wa Kongamano la Tatu la Viongozi Vijana wa Afrika na China lililofanyika Ngurdoto,Arusha.
Katibu Mkuu wa CCM Ndugu abdulrahman Kinana (kulia) Waziri wa Maliasili na Utalii Lazaro Nyalandu(katikati) na Katibu wa Itikadi na Uenezi Nape Nnauye wakiwa kwenye picha ya pamoja nje ya ukumbi wa mkutano wa Kongamano la Tatu la Viongozi Vijana wa Afrika na China lililofanyika Ngurdoto Arusha.
0 comments :
Post a Comment