Abiria wanaosafiri kutoka mikoa ya nyanda za juu kusini na wale wanaoelekea mikoa hiyo zaidi ya 2000 wamekwama baada ya mabasi yao kushindwa kupita eneo la Mikumi kufuatia ajali ya lori lililobeba rami kuanguka na kuwaka mot.
Hapa baada ya lori hilo kuvutwa pembeni
Hivi ndivyo lori hilo lilivyokuwa likiendelea kuwaka moto
Lori lililokuwa limebeba rami likiteketea kwa moto eneo la hifadhi ya Mikumi leo na kupelekea abiria kukwama kuendelea na safari
Moto ukiendelea kuwaka barabarani Picha zote I.Godwin na Joys Njoliga.
wa wanahabari Tz na matukiodaimasiasakali
Home
/
Kitaifa
/
news
/
ABIRIA WA MIKOA YA NYANDA ZA JUU KUSINI WAKWAMA MIKUMI BAADA YA LORI KUWAKA MOTO
-
Blogger Comment
-
Facebook Comment
Subscribe to:
Post Comments
(
Atom
)
0 comments :
Post a Comment