Wapenzi wa burudani ya muziki wa kizazi kipya watapata burudani ya nguvu kutoka kwa gwiji wa muziki wa kizazi kipya hapa nchini Lady Jay Dee. Burudani hiyo itakuwa weekend shii ya siku ya Ijumaa ya tarehe 30. 01.2015, katika viwanja vya Nyumbani Lounge kwa kiingilio cha sh. elfu 10000 tu jijini Dar es Salaam.


Watanzania tujitokeze kwa wingi tumpoe ushirikino
ReplyDelete