Washiriki watano waliopata nafasi ya kuingia tano bora, kutoka kushoto ni Miss Tanzania aliyeshika na 4, Miss Uganda aliyeshika na 2, Miss Ethiopia aliyeshinda, Miss Guinea aliyeshika namba 3 na Miss Nigeria aliyeshika namba 5.
Miss Ethiopia akipata picha ya pamoja na washindi namba 2 na 3 ambaye ni Miss Uganda na Miss Guinea.
Miss Ethiaopia akipata picha na wageni akiwepo Mhe. Balozi Liberata Mulamula.
Washiriki wote 20 katika picha ya pamoja.
No comments:
Post a Comment